• Fri. Jun 21st, 2024

Taarifa News

Latest News Around the Globe

Wakaazi wakemea NMS kwa ubomozi

Jul 8, 2021
253 300

Huduma la Baraza la Jiji la Nairobi(NMS) linalaumiwa kwa ubomoaji wa kiholela mtaani Eastleigh.

Ubomozi huo umewaacha watu ishirini bila makaazi.

Nyumba hizi ni za wale waliostaafu na walikuwa wakihudumu katika Kampuni ya Maji na Taka Jiji la Nairobi.

Wenye nyumba hizo wanadai kutofahamishwa au kupewa ilani kabla ya Ubomozi huo kufanywa.

“Tuliambiwa kuwa Pana kesi kortini. Baadaye NMS imekuja na kuanza kuweka alama ya ubomozi katika majengo yenyewe,”walilalama.

“Badi alianza vyema lakini inao ekana kuna bwanyenye aliyenyakua ardhi hii kupitia wa wahudumu hawa wa Jiji,”waliongeza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *