• Wed. May 8th, 2024

Maswala Ya Data Na Usamala Kuangaziwa Kwenye Kongamano La Kimataifa La Rasli Mali

Aug 9, 2023
383 300

Kongamano la Saba la kimataifa la kuangazia maswala ya rasli Mali limeanza rasmi hii Leo katika makao makuu ya ukanda wa maswala ya rasli Mali almaarufu RCMRD jijini Nairobi.

Akiongea katika kikao na wanahabari kiongozi wa maswala ya ardhi afriGEO Phoebe oduor amesema kwamba kongamano iko LA siku tatu linatarajiwa kuangazia matumizi ya mbinu za sayansi na Sheria, matumizi ya deta na kujumuisha habari na jumbe kwa minajali ya kuangazia maswala ya rasli Mali ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uma na wakulima pamoja na idara husika.

Aidha kongamano ilo linajumuisha takriban nchi ishirini na tano kutoka barani Afrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *