• Wed. May 8th, 2024

Wizara Ya Usalama, UNDP Kuzindua Kitambulisho Cha Kidigitali

Aug 14, 2023
411 300

Wizara ya usalama wa ndani ikishirikiana na muungano wa umoja wa mataifa wa maendeleo UNDP hii Leo wametia sahihi ya mwafaka utakaopelekea kuundwa kwa kitambulisho Cha kidijitali kitakachofahimika kama maisha namba.

Akiongea katika hafla io katika mkahawa mmoja jijini Nairobi karibu wa kudumu Julius Bitok amesema kwamba kitambulisho icho kinapaniwa kuboresha Cha sasa hadi kidigitali ambacho kinaweza kutumika kwa njia ya rununu pasi na kubebwa mara kwa mara kama ilivyo kwa kitambulisho Cha sasa.

Kwa mujibu wa karibu Bitok kitambulisho icho kitatumika kupata huduma zaidi ya alafu tano za serikali zilizoko kwa mtandao na kitazinduliwa rasmi tarehe mbili mwezi oktoba mwaka huu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *