• Fri. Apr 26th, 2024

Kibicho Ataka Adhabu ya Viboko Kurejeshwa Shuleni

Nov 13, 2021
197 300

Visa vya moto shuleni vimeendelea kukera serikali na kulingana na katibu wa wizara ya usalama wa ndani  Karanja Kibicho ni wakati sheria ziweze kubadilishwa ili watoto waweze kuadhibiwa shuleni na hata na jamii.

READ ALSO:Panyako Applauds The Court For Upholding KNUN Preliminary

Kulingana na Kibicho sheria za kutoathibu watoto na hata haki za kimataifa zinazoilinda watoto imefanya wengi kutumia fursa hiyo vibaya na kukosa nidhamu.

Amesema visa hivyo vya moto vimechangiwa na kukosekana kwa adhabu kali kwa wanafunzi shuleni.

Kufikia sasa zaidi ya shule 40 zimeweza kuteketezwa washukiwa wakuu wakiwa wanafunzi wa shule hizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *