• Fri. Apr 26th, 2024

Kagure Apeleka Kampeni Zake Mukuru

Dec 15, 2021
265 300

Mwaniaji wa ugavana Nairobi Ann Kagure ameendeleza kampeni zake katika mitaa duni Nairobi na hapo jana alikuwa sehemu za Mukuru kuadhimisha siku yake kuzaliwa.

Kagure alitangamana na wale wanaishi na ulemavu na hata walio katika maisha  ya chini kaudhmisha sioku hiyo.

Kagure hajaweka wazi kuwa atawania kiti hicho kupitia chama gani.

Alitumia hafla hiyuo ya jana kusaidia wasiojiweza Mukuru yeye pamoja na timu yake.

Akiwa Nyeri alitangaza kuwa ataweka wazi azma yake pamoja na chama atakachotumia.

“Nimechukua fursa hii kumshukuru Mungu na pia kutembelea hawa wasiojiweza  ili tufurahie pamoja kwa sababu mimi nimebarikiwa .’’ Alisema Kagure.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *