• Thu. May 2nd, 2024

MCA Parklands Malde  Apongeza Rais Kwa  Kuondoa Kafyu

Oct 21, 2021
300 300

Mwakilishi wadi wa Parklands Jayendra Malde amepongeza hatua ya rais kufungua nchi na kuondoa kafyu.

Kulingana  na Malde hatua hiyo itachangia pakubwa uchumi wa Jiji kunawiri na hata wanachi kupata kazi.

‘‘Ni hatua nzuri ambayo imechukuliwa na rais na kwamba wananchi wetu wanaweza sasa rejea katika maisha yao ya kwaida na kukuza uchumi wetu… kwa hivyo ni muhimu haswa kwa jiji la Nairobi na vyombo vya usafiri.’’ Malde alisema.

Aidhaa amewarai wananchi kujitokeza na kujisali kama wapiga kura Ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu mwaka ujao.

Ameongea na kituo hiki Kwa njia ya simu.

‘‘Hata tukiendelea kushherekea kuondplewa kwa kafyu ebu tujitokeza tujisali kwa wale amabo wamefika miaka kumi na nane na zaidi. Ni muhimu tufanye hivyo ili tushiriki katika uchaguzi mkuu mwaka ujao’’ Malde alioneza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *