347 300
Mahakama Sasa imetupilia mbali kesi iliowasilishwa mbele yake na aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko ya kupinga kubanduliwa kwake.
Mahakama ya Rufaa kupitia majaji W.Karanja,J.mohammed,J Lessit Kwa uaumuzi wao wametupilia mbali uamuzi huo ukisema kuwa hoja zilizowasilishwa mahakamani na Sonko hauna uzito.
Hii Ina maana kuwa Kaimu Gavana Ann Kananu Sasa amepata afueni na Yuko huru kuapishwa kama Gavana wa Nairobi.
Sonko Bado hajaweka wazi ikiwa ataelekea katika mahakama ya upeo