• Wed. Apr 30th, 2025

Taarifa News

Latest News Around the Globe

Raila Afungua Makao Makuu Ya Azimio Pwani

May 15, 2022
605 300

Mrengo wa Azimio La Umoja One Kenya eneo la pwani sasa utaendesha shughli zake kiulaini baada ya kinara wake Raila Odinga kufungua rasmi afisi za makao makuu ya Azimio gatuzi dogo la Nyali, afisi inayotarajiwa kupanga mikakati yote ya kisiasa za mrengo huo kaunti sita za pwani.

Odinga ambaye anatarajiwa kuongoza mkutano wa kisiasa eneo la Mkomani wakati wowote kuanzia sasa akichukua fursa hiyo kuelezea sera ya Azimio kwa jamii ya wapwani ikiwemo kufufua uchumi, huku asistiza kwamba mrengo huo ungali maafuru licha ya baadhi ya wanasiasa wake kugura.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *