• Wed. Sep 18th, 2024

Taarifa News

Latest News Around the Globe

Ngwele Arejea Kazini Kimpango Licha ya Agizo la Mahakama Kumzuia

Jun 10, 2021
496 300

Wasiwasi sasa imegubika Cityhall kufuatia kuonekana kwa Jacob Ngwele katika hafla ya bunge la kaunti Kuhusu maswala ya hazina ya maendeleo ya maeneo wadi (WDF) hafla ambayo inaendelea Mombasa.

Muonekano huo na kuwa mmoja wa maafisa wa kuelimisha wafanyikazi na wakilishi wadi kuhusu WDF pia ni ishara tosha kuwa ametupilia mbali agizo la mahakama lilomtaka kukaa mbali na shuguli za bunge.

“Amri ilikua wazi kwamba wakae Kando kabisaa …muonekano huu una maana kuwa Sheria haifwatwi.” Wakilishi walisema.

Wafanyikazi ambao walitofautiana naye pia sasa wamejawa na hofu ikiwa mahakama itamruhusu kurejea kazi yake wakisema kuwa huenda watawafuta kazi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *