• Wed. Oct 5th, 2022

Mwaniaji Ugavana Ngatia Apigia Debe Raila Nairobi

Mar 7, 2022
66 300

Mwaniaji ugavana Nairobi Richard Ngatia ameendeleza kampeni za Azimio Nairobi huku alimpigia debe kinara wa ODM Raila Amollo.

Ngatia ametaka jamii ya Mlima Kenya kuujitokeza na kumuunga mkono Raila mkono katika uchaguzi wa Agosti.

‘‘Tunaskiza wakibweka huko nje lakini tunataka kuwambia kuwa rais wetu ni Riala Amollo Odinga…hao wengine webweke tu…watu wetu Mlima Kenya mjue kuwa Raila ndio rais wetu.’’ Ngatia alisema.

Ngatia amekuwa akiendeleza kampeni zake za ugavana jijini na hapo jana yeye pamoja na kinara wa ODM Raila Odinga, na Rais Uhuru Kenyatta wamekuwa katika fainali za Mchezo wa Golf kule Muthaiga.

Ngatia anawania kiti hiki Kwa Azimio lakini ndani ya Jubilee.

Leave a Reply

Your email address will not be published.