601 300
Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina Damaris kutoka Kaunti ya Kirinyaga ameonekana akipigwa na Mlinzi wa Gavana Ann Waiguru.
Mama huyo alikuwa akilalamikia Ugavi duni wa rasilimali katika Kaunti hiyo ya Kirinyaga. Alipokuwa akikaribia gari la Gavana ndipo Mlinzi huyo alimpiga Makonde.
Pia mwanamke huyo alikuwa akilalama kuwa katika Wodi ya Kanga hawana vituo vya afya na kuwa wanateseka Sana kupata huduma za afya.