Baada ya tanda belua na mpukurushani kuwa mwakilishi wa wadi Makongeni Peter Imwatok alikua amekwepa na ungaa za MCAs hatimaye kaimu Gavana Ann Kananu amewachilia ungaa kwa Wakilishi wa kaunti ya Nairobi.
Kufikia sasa Wakilishi wadi zaidi ya 40 wakiongozwa na Waithera Chege wamepokea ungaa hizo beli mia moja kila mmoja. Swali ni jee Mbona Kananu alikua ameziweka ungaa hizi?
Kulingana na Imwatok huenda barua yake kwa Eacc ndio iliomuingiza baridi Kananu kwani alishirikiana na kampuni ya familia moja za Asmara,Msafiri Feeds na hata Throughout kuwalipa donge nono bila chakula kugawua kwa Wakilishi wodi.
“ametoa Unga wapi sasa ya kupeana kwa MCA baada kusema Imwatok alichukua ungaa ..mbona alilipa kampuni hizi kabla ya bidhaa hizi kuletwa,”Imwatok alisema.
Tayari Eacc imeanzisha unchunguzi Kuhusu malipo hayo ya milioni 85 za chakula hicho huku pia kikibainika kuwa Sheria za ununuzi haikufwatwa.
Barua ya kampuni zilizopewa zabuni ya kugawa chakula hicho.