324 300
Polisi wameanzisha uchunguzi baada ya kijana mwenye umri wa miaka ishirini na tatu kujitoa uhai kwa kujinyonga.
Kulingana na Marafiki zake wa karibu, kijana huyo alianza kuchora picha za huzuni ambazo ziliwafanya kuwa na wasiwasi naye. Wazazi wake wmejawa na huzuni kwa kuwa hawajui ni nini kilicho sababisha ajitoe uhai.
Mwili wake umeondolewa na kupelekwa Makafani ya City uchunguzi unapoendelea.
Kwa siku za hivi punde, watu wengi wamekuwa wakijitoa uhai kwa sababu yta msongo wa mawazo. watu wanshauriwa kuongea ili kusaidiwa.