• Tue. Oct 8th, 2024

Taarifa News

Latest News Around the Globe

Guyo,Wakilishi Wadi Nairobi Wapuuza Jubilee Kuhusu Mabadiliko ya Sheria

Jun 5, 2021
478 300

Chama Cha Jubilee Sasa kimeonya kiongozi wa wengi bunge la kaunti ya Nairobi kuhusu nia yao ya kubadilisha Sheria za bunge inayonyima vyama nguvu za kuwateua viongozi bungeni.

kupitia kwa barua kutoka kwa Tuju Guyo pamoja na wakilishi wadi wa Jubilee wametakiwa kutoshiriki katika harakati zozote za kubadilisha Sheria hiyo.


“Tumearifiwa kuhusu azma ya baadhi ya wakilishi wetu kutaka kubadilisha Sheria hiyo, tunatoa mwelekekeo kuwa waondoke katika harakati hizo Kwani msimamo wa chama umekata huo mwelekeo.” Tuju alisema.


Lakini licha ya hayo Guyo na MCA wa Waithaka wamekuwa wakiskuma mabadiliko hayo wakitaka ungwaji mkono.


Kikao Cha bunge bado hakijapitisha mabadiliko hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *