• Thu. Apr 25th, 2024

Gavana Lenku Alaumu sababu za Kiasili  kwa Poromoko la Darara la Paai

Feb 24, 2022
991 300

Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku Sasa anasema kuwa ofisi yake si ya kulaumkwa Kwa kuporormoka Kwa daraja la Paai kule Mashuru.

Gavana huyo anasema kuwa kuanguka Kwa darala hilo  kumesababishwa  na mmomonyoko wa udongo na maswala mengine ya kiasili.

Amewahikikishia wananchi wa kaunti ya Kajiado kuwa hili litarekebishwa mara Moja na tayari maafisa wa kiufundi  kutoka serikali kuu,serikali ya Kajiado  na wale wa mwanakandarasi wamefika eneo hilo na kuirekebisha.

Aidhaa ameonya wanasiasa dhidi ya kuboboja maeneno yasiokuwa na maana Kwa kuporormoka Kwa daraja hilo kwani mradi huo ni ya wananchi.

‘‘Tunataka kuchukua majukumu ya hili lakini si kaunti kulamiwa ni maswala ya kiasili kama mnavyojua kajiado ni eneo kame na kunapotokea mvua basi maswala mengi hutokea ambayo hayajatarajiwa lakini tunafanya kadri ya uwezo wetu kuhakikisha kuwa daraja  limesimama na wananachini wanapata huduma.’’ Lenku alisema katika taarifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *