• Tue. Aug 16th, 2022

Erick Mokua Apata Tiketi Kupambana na Elachi Dagoreti North

May 4, 2022

Chama Cha Justice and Freedom Party Sasa kimemkabidhi Erick Mokua   tiketi kuwania kiti Cha ubunge Dagoreti North.

Chama hicho kiko ndani ya Muungano wa Azimio.

Mokua Sasa atatifuana Kivumbi na Beatrice Elachi wa ODM ambaye alipewa tiketi ya Moja kwa Moja.

Mokua ameahidi kuimarisha maisha wakaazi Dagoreti North ikiwa atachaguliwa kama mrithi wa Simba Arati.

‘‘Nashukuru chama hiki kwa tiketi na niko tayari kupambana na Elachi kuleta maendeleo katika Dagoreti North..Mokua sio mgeni Nairobi Mokua amefanya mengi jiji hili kuimarisha maisha ya kina mama,vijana…tuna maono kwa eneo bunge hili.’’ Alisema.

Leave a Reply

Your email address will not be published.